Kaa wanapatikana katika bahari zote duniani, lakini kaa wengi wanaishi kwenye maji baridi na nchi kavu, hata kwenye sehemu za kitropiki. Kaa wana ukubwa mbalimbali kwa mfano kuanzia pea crab mwenye urefu wa milimita kadhaa, mpaka kwa kaa wa Kijapani (Japanese spider crab wenye mpaka jumla ya urefu (pamoja na miguu yake) wa mita 4.